Cv ya samuel sitta biography
Samuel John Sitta (18 December – 7 November ) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Urambo East of Tabora Region....
Samuel John Sitta (amezaliwa 18 Desemba, ) ni mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.
Samuel John Sitta alizaliwa Desemba 18, huko wilayani Urambo Mkoa wa Tabora. Sitta alisoma Shule ya Msingi Urambo kati ya mwaka , kisha alikwenda Wilaya ya Sikonge mwaka - na kuendelea na masomo ya Middle School katika shule ya Sikonge Middle School.
Baadaye mwaka alianza masomo ya sekondari Shule ya Wavulana Tabora yaani Tabora Boys kidato cha I IV na cha V VI.
Mara tu baada ya kuhitimu masomo ya sekondari, Sitta alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kusomea Shahada ya Sheria (L LB) mwaka na kuhitimu mwaka
Sitta amesoma shahada yake kwa miaka 7 kwa sababu mwaka , wakati yuko mwaka wa pili na akiwa kiongozi wa wanafunzi UDSM, wanafunzi waligoma na kuandamana kupinga kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na kukatwa mishahara yao baada ya JKT.
Hoja ya wanafunzi ilikuwa na mantiki kubwa, kwamba mbona vigogo wa serikali na wanasiasa wanalipwa mishahara minono na marupurupu makubwa?
Baada ya shinikizo hilo la wanafunzi